Msaada: Samsung J3

Faana

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
31,277
32,321
Naomba kwa wajuao tatizo la simu tajwa kuandika "No service" au "Emergency Calls Only" hata kama network kwa baadhi ya simu ipo
Screenshot_2019-05-11-09-06-35.png
Screenshot_2019-05-11-09-06-35.png
Screenshot_2019-05-11-09-06-35.png
 
Attachments

  • Screenshot_2019-05-11-09-07-10.png
    Screenshot_2019-05-11-09-07-10.png
    11.3 KB · Views: 23
  • Screenshot_2019-05-11-09-07-48.png
    Screenshot_2019-05-11-09-07-48.png
    10.9 KB · Views: 21
  • Screenshot_2019-05-11-09-09-32.png
    Screenshot_2019-05-11-09-09-32.png
    10.8 KB · Views: 19
  • Screenshot_2019-05-11-09-20-58.png
    Screenshot_2019-05-11-09-20-58.png
    11.2 KB · Views: 20
  • Screenshot_2019-05-11-09-21-29.png
    Screenshot_2019-05-11-09-21-29.png
    11.3 KB · Views: 22
  • Screenshot_2019-05-11-09-31-43.png
    Screenshot_2019-05-11-09-31-43.png
    10.9 KB · Views: 19
  • Screenshot_2015-01-01-03-27-47.png
    Screenshot_2015-01-01-03-27-47.png
    113.4 KB · Views: 17
  • Screenshot_2015-01-01-03-28-25.png
    Screenshot_2015-01-01-03-28-25.png
    156.2 KB · Views: 19
  • Screenshot_2015-01-01-03-28-38.png
    Screenshot_2015-01-01-03-28-38.png
    7.8 KB · Views: 19
Mkuu nenda setting >about phone> imei check kama zipo + baseband kama ni (unknown) basi [>fix baseband] na kama imei hazipo basi repair imei na kama wajua kuwrite cert vasi ndo kazi na kama hujui basi jua gharama zinahusika.
 
Mkuu nami umenipa somo ila naomba unisaidie na mimi hili tatizo Sumsung note2 ukiangalia salio fresh ila ukitaka kuingiza menu yoyote mfano *150*01# inasema invalid MMI CODES
 
Download app kama za tigo pesa mpesa na sim banking hizo code aziwezi kukubali
 
Ingia kwenye upande wa mobile network na iruhusu simu ijichagulie mtandao, I mean iwe kwenye option ya 4G/3G/2G na sio 3G only.
Ikishindikana, fuata ushauri wa majamaa hapo juu.

Ipo kwenye hiyo setting na hili tatizo lilianza kuna siku mtandao wa tigo ulikwenda chini uluporejea na tatizo likaanzia hapo
 
Mkuu nenda setting >about phone> imei check kama zipo + baseband kama ni (unknown) basi [>fix baseband] na kama imei hazipo basi repair imei na kama wajua kuwrite cert vasi ndo kazi na kama hujui basi jua gharama zinahusika.

Mkuu IMEI ipo shida ni outage time ni ndefu mpaka siku nzima haikamati mtandao, inaweza kukamata kwa nusu saa, saa moja na baadaye inakata
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom