Msaada samsung dous unread message hazifunguki na hazionekani

Speculator

Member
Mar 30, 2012
56
4
SALAMA WAKUU, simu yangu (Samsung Duos GT-56102) mssg ikiingia unasikia na kwenye screen inaonekana inbox lakini unapoifungua haionekani wala kufunguka sasa zinaonekana kwenye screen zinaongezeka, pili ukipiga simu baada ya kumaliza haionekani kwenye call list, naomba msaada wenu tafadhali
 
weka third part apps kwa ajili ya msg,haitatatua tatizo bali utaweza zisoma walau zitakazo kua zinaingia,app kama true caller unaweza soma ingawa zitakuja tofauti nazitakua 2
 
Back
Top Bottom