Mkuu kwanza uwe na passport halali baada ya hapo nenda ubalozi wa japan hapa tanzania utapewa utaratibu wa uhakika kuliko kuja humu jf kama kweli msafiriWaungwana nasalimu sana.
Leo Nimekuja tena jamvini naomba msaada jinsi ya kusafiri kuelekea Japan, jinsi nauli ni na namna ya kupata Visa naomba kwa gharama ya usafiri ni sh.ngapi?