Msaada: Safari ya Dar - Mbeya kwa Noah petrol kiasi gani?

Nimesafir na noah kutoka dodoma kwenda mbeya jumla km 570 nimetumia mafuta ya tsh 120000, sawa na lita 52
 
Back
Top Bottom