chuma_cha_pua
Member
- Sep 28, 2013
- 24
- 10
Wadau msaada plz kwa anayejua routing number ya bank ya barclays hapa Tz.
I thought Bank nyingi za TZ hawatumii routing #, instead they use SWIFT code which when you use it huitaji routing #. I may be wrongWadau msaada plz kwa anayejua routing number ya bank ya barclays hapa Tz.
Uummh..well hiyo kitu nimekutana nayo katika kuunga my visa card kwenye pay pal..kuna mahari wanahitaji routing number and account number..
Hivi mkuu swift number za bank ndo pia routing number?