Msaada:Rinju shea butter....

mvuv

mvuv

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Messages
2,347
Points
2,000
mvuv

mvuv

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2013
2,347 2,000
Rinju bei inatofautiana. Moshi na Arusha huko bei ni 10,000 .
Mbeya mjini 12,000-13,000
Vijijini Mbeya hii hii 14,000
Natumia Rinju sijali sana kuhusu harufu ila mimi nimeamia Rinju baada ya kuona multbutter upatikanaj wake ni mgum Mbeya
 
Extrovert

Extrovert

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Messages
16,452
Points
2,000
Extrovert

Extrovert

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2016
16,452 2,000
Mo toq
Rinju bei inatofautiana. Moshi na Arusha huko bei ni 10,000 .
Mbeya mjini 12,000-13,000
Vijijini Mbeya hii hii 14,000
Natumia Rinju sijali sana kuhusu harufu ila mimi nimeamia Rinju baada ya kuona multbutter upatikanaj wake ni mgum Mbeya
Mo Town bei ni 11000
 
Black Dove

Black Dove

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2016
Messages
336
Points
500
Black Dove

Black Dove

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2016
336 500
Ni mazuri ila mi sipendi harufu yake hasa wakati wa kupaka..
Hayachubui hata cheusi mangala anapaka na anawakawaka..
Tena hata usoni unapaka na hayakutoi chunusi labda ngozi yako iwe ya mafuta mengi
Haya mwenyewe harufu yake sijawahi izoea...nilitumia rinju nyeupe kipindi fulani at least harufu haikunikera.
 
Samboko

Samboko

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2011
Messages
4,311
Points
2,000
Samboko

Samboko

JF-Expert Member
Joined Oct 30, 2011
4,311 2,000
Rinju bei inatofautiana. Moshi na Arusha huko bei ni 10,000 .
Mbeya mjini 12,000-13,000
Vijijini Mbeya hii hii 14,000
Natumia Rinju sijali sana kuhusu harufu ila mimi nimeamia Rinju baada ya kuona multbutter upatikanaj wake ni mgum Mbeya
Kwa original mkuu, sio chini ya 13000 kwa mtu anaechukulia dar labda iwe inatoka nchi jirani hapo, maana bei ya jumla ni 11,000 kwa pc hiyo ni original, na pia kuna feki zake mara 2, kuna inayofanana kwa kiasi flani na kuna isiyofanana kabisa kwa harufu sema wajanja huchukua OG wanamimina hapo juu ili ukinusa ujue ndio yenyewe na kuna wanaozichanganya kabisa.
 
toplemon

toplemon

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Messages
1,648
Points
2,000
toplemon

toplemon

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2017
1,648 2,000
Rinju bei inatofautiana. Moshi na Arusha huko bei ni 10,000 .
Mbeya mjini 12,000-13,000
Vijijini Mbeya hii hii 14,000
Natumia Rinju sijali sana kuhusu harufu ila mimi nimeamia Rinju baada ya kuona multbutter upatikanaj wake ni mgum Mbeya
Aisee naenda kuitafuta
 
Atoto

Atoto

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Messages
57,847
Points
2,000
Atoto

Atoto

JF-Expert Member
Joined Jul 19, 2013
57,847 2,000
Nimerudi kwenye revlon tu kwakweli, hiyo rinju ni nzuri ila harufu yake siipendiiii.
 
Ng'wanapagi

Ng'wanapagi

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2013
Messages
8,042
Points
2,000
Ng'wanapagi

Ng'wanapagi

JF-Expert Member
Joined Sep 18, 2013
8,042 2,000
yako pao tuu maana naona warembo kadhaa pia wanatumia na bei ni 8000/= feki, 11000/= original
Yameshachakachuliwa sana hasa kanda ya ziwa pamoja na Rubee lotion
 
Forum statistics

Threads 1,307,088
Members 502,332
Posts 31,601,272
Top