Msaada:Rinju shea butter....

Sir_Mimi

Sir_Mimi

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2013
Messages
5,251
Points
2,000
Sir_Mimi

Sir_Mimi

JF-Expert Member
Joined Jun 21, 2013
5,251 2,000
Kama wewe mwanamke tumia as long as hata yakikuchubua hakuna atakeshangaa ila mwanaume usithubutu utachekesha umati!
 
aggyjay

aggyjay

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2015
Messages
6,161
Points
2,000
aggyjay

aggyjay

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2015
6,161 2,000
Ni mazuri ila mi sipendi harufu yake hasa wakati wa kupaka..
Hayachubui hata cheusi mangala anapaka na anawakawaka..
Tena hata usoni unapaka na hayakutoi chunusi labda ngozi yako iwe ya mafuta mengi
 
toplemon

toplemon

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Messages
1,650
Points
2,000
toplemon

toplemon

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2017
1,650 2,000
Ni mazuri ila mi sipendi harufu yake hasa wakati wa kupaka..
Hayachubui hata cheusi mangala anapaka na anawakawaka..
Tena hata usoni unapaka na hayakutoi chunusi labda ngozi yako iwe ya mafuta mengi
Asante kwa kweli...bei vp???
 
Extrovert

Extrovert

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Messages
16,452
Points
2,000
Extrovert

Extrovert

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2016
16,452 2,000
Najiuliza mmarekani gani anatengeneza product inanuka kama mavi yani. Kuna mwanangu anapendaga vitu vya ki US akanunua ile mambo aisee wacha mi nipake Nivea tu.
 
toplemon

toplemon

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Messages
1,650
Points
2,000
toplemon

toplemon

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2017
1,650 2,000
Najiuliza mmarekani gani anatengeneza product inanuka kama mavi yani. Kuna mwanangu anapendaga vitu vya ki US akanunua ile mambo aisee wacha mi nipake Nivea tu.
Hahahaha inanuka km mavi hiyo?????
 
sandraeli

sandraeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Messages
1,342
Points
2,000
sandraeli

sandraeli

JF-Expert Member
Joined Mar 4, 2013
1,342 2,000
Yana harufu kalii mno
 
Forum statistics

Threads 1,307,094
Members 502,332
Posts 31,601,544
Top