MSAADA: Ramani ya mipango miji (Tabora)

CHE GUEVARA-II

JF-Expert Member
Jun 17, 2010
571
156
Habari zenu wadau?
Naomba msaada kwa yeyote aliyepo Tabora anayeweza kunisaidia kujua na kupata ramani ya mipango miji ya Tabora inayohusisha eneo letu lililopo ktk GPS coordinates hizi
4 57' 57" S 32 49' 12" E
Kama yupo nitamuunganisha na wanaojua mipaka ya shamba letu ili akachukue coordinates zake atusaidie kujua kumepangwa kuwekwa nini.
 
Back
Top Bottom