Msemaji_
JF-Expert Member
- Oct 22, 2016
- 588
- 785
Wasalaamu JF,
Jamani ilikuwa ni jana mida ya saa moja jioni rafiki wa mpenzi wangu alinitxt kupitia simu ya mpenzi wangu , alinipa hai kama ilivyo kawaida yetu kusalimiana na kuongea mengi kupitia hiyo simu, katika story nyingi baadae tukapiga story za mapenzi na hatimae akanitamkia wazi kuwa anahitaji kufanya mapenzi nami tena likizo hii coz yeye yupo advance,
But mimi kwa mara ya kwanza nilimkatalia kata kata kuwa mimi ni mchumba wa rafiki yako siwez msaliti na kufanya hayo mambo, alikazania sana na ikabidi nimkubalkie kuwa ok tutafanya mapenzi.
Baada ya muda nikatahamaki kuona text inaingia inasomeka hivi 'Utaona txt zako hizi kesho atazisoma mpenz wako umezidi tamaa na ndio umekamatika'
Sasa jamani nisaidieni nifanyaje kunusuru penzi langu coz bado nampenda mpenzi wangu