Msaada: Radio Sony genezi mhc-gtr55 inasoma "please wait" au "reading" tu nikiweka flash drive. Nini tatizo wakuu?

Ngariba1

JF-Expert Member
Jan 12, 2017
1,702
3,454
Habari wakuu,

Radio hii Sony genezi mhc-gtr55 tangu ikiwa mpya inasoma flash ikiamua tu. Labda kuna masharti nakosea.

Naweza weka flash mara hii ikasoma fasta na kucheza nyimbo. Naweza weka baadae ikawa inasoma "please wait" au "reading" kwa muda mrefu hata siku nzima.

Tatizo laweza kuwa nini wakuu?​

IMG_20210427_225442.jpg
images (71).jpeg
IMG_20210427_225519.jpg
 
Hapo kimoja kia shida its either flash au radio yenyewe...Sony Bongo kama hujanunua kwao wenyewe basi hesabu maumivu..nyingi ni copy. Flash nyingi pia Bongo ni feki
 
Nilinunua kwao Sony wenyewe. Made in Malaysia. Labda kuna namna zinabagua flash maana hizi flash zinazosumbua nikizichomeka kwenye subwoofer zinasoma haraka.
 
Habari wakuu,

Radio hii Sony genezi mhc-gtr55 tangu ikiwa mpya inasoma flash ikiamua tu. Labda kuna masharti nakosea.

Naweza weka flash mara hii ikasoma fasta na kucheza nyimbo. Naweza weka baadae ikawa inasoma "please wait" au "reading" kwa muda mrefu hata siku nzima.

Tatizo laweza kuwa nini wakuu?View attachment 1765940View attachment 1765942View attachment 1765947
Lazima ni tatizo la Flash. Tumia flash ndogo isiyozidi 16GB , format flash yako katika mfumo wa FAT32 (Default). Usiweke files zingine kwenye flash kama vile windows, au programs .

Flash ikizingua Format kwanza Katika FAT32 then rudishia vitu ujaribu tena.

Hizi redio hazitaki complications
 
Asante mkuu. Nitafanya hivyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom