msaada program /software gani nzuri kutengeneza magazeti

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
naombeni msaada, niliwai kutengeneza magazines ikawa nzuri tu nilitumia program ya adobe Indesign.

lakin sasa hiv nataka nitengeneze magazeti kama aya ya Nipashe, Majira, Kiu, etc.

Nauliza ni program nzuri ya kutumia kutengeneza pia nasikia kuna program nyingine unakuwa ushadesigniwa ni kuchagua tu aina unayotaka na kupachika picha na meneno.

Nitashukuru sana
 
Back
Top Bottom