Msaada: Premio old model imekuwa ikiwasha taa ya engine

swamila

Senior Member
Apr 4, 2015
176
81
Msaada wadau gari yangu aina ya Premio old model imekuwa ikiwasha taa ya engine check nimepeleka kwa mafundi tatizo haliishi tatizo lenyewe ni gari kumis na kutokuwa na nguvu unapopanda mlima. Naomba msaada mwenye uelewa na mambo haya.
 
Mkuu ukiona gari umepeleka kwa mafundi na bado ubovu unaendelea hapo kunaweza kuwa na tatizo la weledi wa hao mafundi!Je,umejaribu ku 'diagnose'
Kwa kompyuta?
 
Wakuu gari yangu ni Nissan Note, kuna wakati ikizimwa haiwezi kuwaka mpaka nipate msaada wa ku boost kwa betri nyingine. Lakini ikiachwa mpaka ipoe kabisa mfano ni kuiacha usiku kucha asubuhi inawaka bila shida. Betri ni nzima na inaonesha alama ya uzima (kijani). Nini laweza kuwa tatizo?
 
Duet, nimeshashuhudia betri ikionyesha unjano wa uzima lakini sio nzima.

Nakushauri ununue betri mpya mapema. Achana na mambo ya kuboost kila wakati. Sidhani kama tatizo litakuwa alternator.
 
Miss ni tatizo dogoo sana! Nakuhakikishia gari yako itapona usisite kujibu kila ntakalokuuliza.
 
duh afadhali tuta saidiana humu, janaa nimetoka kununua corolla e110 ya uk version, taa ya check engine ime ni wakia naombeni ushauri je ni fault ya umeme au vipi maana gari ilikua ime lala kwa muda mrefu ndo kuja kufufuliwa na service juu na rangi kutembea ndo ikanza tatizo hio ila haina shida navyo iona mimi, sema taa ina nipa wasi wasi
 
Msaada wadau gari yangu aina ya Premio old model imekuwa ikiwasha taa ya engine check nimepeleka kwa mafundi tatizo haliishi tatizo lenyewe ni gari kumis na kutokuwa na nguvu unapopanda mlima. Naomba msaada mwenye uelewa na mambo haya.
Ni pm mkuu!!!
 
Back
Top Bottom