Msaada prease. Ni muda gani unashauliwa kwa mama mjamzito kuacha kushiliki tendo la ndoa


TOTS SHALO

TOTS SHALO

Senior Member
Joined
Sep 24, 2012
Messages
153
Likes
2
Points
35
TOTS SHALO

TOTS SHALO

Senior Member
Joined Sep 24, 2012
153 2 35
Natumai mko poa waugwana binafisi nashidwa kujua nimuda gani mama mjamzto anashauliwa kuacha kushiliki tendo la ndoa na kama ataendelea nimadhala gani yanaweza kutokea kwa mama au kwa mtoto.
 
figganigga

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Messages
16,348
Likes
10,241
Points
280
figganigga

figganigga

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2010
16,348 10,241 280
mimi napenda sana kuandika kiswahili ili nisiaibike. mia
 
fishengoma62

fishengoma62

Member
Joined
Sep 21, 2012
Messages
35
Likes
3
Points
15
fishengoma62

fishengoma62

Member
Joined Sep 21, 2012
35 3 15
mpaka siku anaenda kujifungua! hakuna madhara yeyote bali tu usimchoshe!
 
Kongosho

Kongosho

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2011
Messages
36,078
Likes
392
Points
180
Kongosho

Kongosho

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2011
36,078 392 180
'prease', mimi Maimuna
 
damian marijani

damian marijani

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2010
Messages
696
Likes
260
Points
80
damian marijani

damian marijani

JF-Expert Member
Joined Jan 31, 2010
696 260 80
Tendo la ndoa halina madhara yeyote kwa mja mzito katika umri wowote wa mimba. Tahadhari ni kwa wenye matatizo ya afya kama kutokwa na damu au kutokwa na maji yanayomzunguka mtoto tumboni(liquor amnii). Tahadhari nyingine ni ukubwa wa tumbo,inabidi kutafuta style ya kushiriki tendo kupunguza maumivu tumboni mwa mama.
 
Donnie Charlie

Donnie Charlie

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2009
Messages
7,628
Likes
2,018
Points
280
Donnie Charlie

Donnie Charlie

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2009
7,628 2,018 280
mimi napenda sana kuandika kiswahili ili nisiaibike. mia
Huoni kuwa kwa kiswahili ndio amekosea karibu maneno yote? Au kingereza ndio kinaonekana sana?
 
stephot

stephot

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2012
Messages
7,252
Likes
5,309
Points
280
stephot

stephot

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2012
7,252 5,309 280
Kwani ukivumilia mkuu mpaka mkeo ajifungue utakosa nini au shemeji mwenyewe ndio anataka muendelee?Vumilia miezi 9 akishajifungua weka miezi 6 ya kunyonyesha then muanze hayo machejo yenu!
 
Mwali

Mwali

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2011
Messages
7,024
Likes
36
Points
0
Mwali

Mwali

JF-Expert Member
Joined Nov 9, 2011
7,024 36 0
Unless mama mjamzito alionesha dalili za mimba kutishia kutoka (hasa miezi za mwanzo), hakuna shida yoyote kuendelea na shughuli. Just go easy on her.
 

Forum statistics

Threads 1,275,076
Members 490,894
Posts 30,532,146