richy17 Unatumia receiver aina gani? Mi ninatumia Gulf Star, ikipotea ninavyofanya ni kubonyeza "MENU" af andika 5725 haraka utaona kuna program nyingine inaongezeka na chan e yenyewe inarudi.. Ukifanikiwa utanipa feedback
inauzwa shs ngapi mkuu???
natumia hyo gulf star lakini inakataa bado...nifanyeje???
jamani habarini,
mniamie hizi tv za digital kwa ss unaweza kutumia bila dishi na ukapata channel zote za free to air
au ndio mpaka tusubiri mwakani?
kitaalamu na kuondoka utata ulibidi useme hiyo e.tz unaipata kwenye sattelite gani? angle gani? maana haipatikani kwenye satellite moja. ni station moja lakini inarushwa kwenye satellite tofauti. kama unakusudia ile ya intelsat 7/10 68.5E ile ina encryption ya nagravision 3 na wala sio viaccess1. ambayo crack yake mpaka sasa sijasikia kama tayari. ila kuna satelite ya mp4 ambayo degree zake nimezisahau inapatikana bure bila ya encryption.e.tv imekuwa scrambled channel kwa muda sasa..nimesikia kuna watu wana unlocking keys zake kupitia viaccess1..plz mwenye unlocking keys zake au za channel yoyote atupie hapa!!!
Sasa umesahau sasa umetusaidia nini??kitaalamu na kuondoka utata ulibidi useme hiyo e.tz unaipata kwenye sattelite gani? angle gani? maana haipatikani kwenye satellite moja. ni station moja lakini inarushwa kwenye satellite tofauti. kama unakusudia ile ya intelsat 7/10 68.5E ile ina encryption ya nagravision 3 na wala sio viaccess1. ambayo crack yake mpaka sasa sijasikia kama tayari. ila kuna satelite ya mp4 ambayo degree zake nimezisahau inapatikana bure bila ya encryption.
weka wazi