D darshan Member Apr 29, 2013 46 6 Dec 11, 2013 #1 habari zenu...ukitaka kujua kama namba unayotumia imesajiliwa wafanyaje?:mtumiaji wa line ya tigo.
Katavi Platinum Member Aug 31, 2009 41,983 12,702 Dec 11, 2013 #2 darshan said: habari zenu...ukitaka kujua kama namba unayotumia imesajiliwa wafanyaje?:mtumiaji wa line ya tigo. Click to expand... *106# piga hiyo na utapata unachokitafuta.
darshan said: habari zenu...ukitaka kujua kama namba unayotumia imesajiliwa wafanyaje?:mtumiaji wa line ya tigo. Click to expand... *106# piga hiyo na utapata unachokitafuta.