Msaada plz

zema21

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
619
251
Wanajamvi salamu kwenu!!
naombeni mnijuze kwa mtu anayejua sheria ya kazi / sheria za uzazi kuna mtu kanieleza jambo ambalo limenitatiza kuhusu likizo ya uzazi kwa wanawake!
Ni kweli kuwa eti mwanamke akichukua likizo ya uzazi(Kwenda kujifungua) kwa mwaka huu ikatokea mwaka unaofuatia amepata ujaa uzito tena na anahitaji kwenda kujifungua hawezi kupewa likizo tena? tena kwa wafanyakazi wa sekta za uma
...mfano mke wangu amejifungua mwaka huu akapewa likizo ya kwenda kujifungua ikatokea mwaka unaofuatia kapata ujauzito na anahitaji kujifungua tena hatapewi ruhusa kwa mwaka unaofuatia?
 
mmh, kama ni mie
simpi mke wangu ujauzito kila mwaka.

Sijawahi kuwaza hili, ila wengine wanatoa maana mzazi atawezaje kuja kazini na uzazi wa siku 3? Na mi oparesheni ilivyochachamaa siku hizi?
 
Inategemea ypo kitengo gan funguka usaidiwe ypo sekta gan.
 
Kaka, sheria ya kazi ni baada ya miaka mitatu(3) tangu apewe maternity leave ndio anaruhusiwa tena kuchukua maternity leave, akipata mimba befor 3 years atakua entilted only na annual leave ya mwez mmoja na c maternity leave ya miez mitatu sasa hapo inadepend na huruma ya bosi kumruhusu mapema maana mwez mmoja kwenda kazini c mchezo
 
muda wakupata maternity leave ni kila baada ya miaka mitatu! kisheria na kwa mujibu wa standing order.
 
Kaka, sheria ya kazi ni baada ya miaka mitatu(3) tangu apewe maternity leave ndio anaruhusiwa tena kuchukua maternity leave, akipata mimba befor 3 years atakua entilted only na annual leave ya mwez mmoja na c maternity leave ya miez mitatu sasa hapo inadepend na huruma ya bosi kumruhusu mapema maana mwez mmoja kwenda kazini c mchezo
asante mkuu
 
Sheria ya kazi inasema ni Likizo moja ya uzazi kwa miaka mitatu, ukidoublelize utajijua na huo uja uzito wa double double
 
dah ng'ombe hazeeki maini ndo nini kumzalisha mkeo kila mwaka amekua animal jamani ona sasa yanayomkuta mama wa watu,yani hapo hata wewe hupati paternity leave kwa kifupi atapewa mwezi mmoja tu no discussion.
 
Ni hivi, sheria ni miaka mitatu, hata hivyo mkeo akibeba mimba kabla ya hiyo miaka mitatu atapewa likizo ya malipo ya mwezi mmoja na miezi miwili inayofuata atakuwa likizo bila mshahara ama sivyo arudi kazini baada ya huo mwezi mmoja wa mapumziko.
 
Back
Top Bottom