Msaada plz

Osaba

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
1,937
772
Kuna hii desktop aina ya fujitsu nikitaka kuiformat nikiweka cd nikiirestart inatoa msg kama kawaida ya press any key to boot from cd tatizo linakuja vipi kila nikibonyeza button yeyote hairespond lakini keyboard ni nzima kwani nikiselect kwenye bios setup inafanya kazi vizuri tu tatizo ni nini wadau maana kichwa kinaniuma sana
 
mkuu ishu ni kwamba hiyo computer yako ni tolea la nyuma kidogo so innovation ya usb ilikua bado ila inafanya kazi fresh lakini huwezi kuboot trust me then unambie keybord za ps2 ni 5000 tu nunua uone kama itakataa
 
USB inakuwa haipo suported wakati PC inaboot kwenye PC za zamani, tafuta keyboard ya kizamani kama walivyoshauri. Ukishapata PS2 keyboard ingia BIOS kunaweza kukawa na sehemu ya ku enable USB wakati wa booting pia angalia kama kuna BIOS update kutoka kwa manufacturer wako.
 
Nimekusoma mkuu
 
Back
Top Bottom