Osaba
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 1,937
- 772
Kuna hii desktop aina ya fujitsu nikitaka kuiformat nikiweka cd nikiirestart inatoa msg kama kawaida ya press any key to boot from cd tatizo linakuja vipi kila nikibonyeza button yeyote hairespond lakini keyboard ni nzima kwani nikiselect kwenye bios setup inafanya kazi vizuri tu tatizo ni nini wadau maana kichwa kinaniuma sana