Anita Baby
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 1,265
- 539
Natafuta msichana wa kaz za ndan. Mshahara maelewano. Elimu drs la 7.
nisaidie king pls.Anitaa Anitaa wangu rudi nyumbani tuishi pamoojaaaaaa!
Natafuta msichana wa kaz za ndan. Mshahara maelewano. Elimu drs la 7.
kwanini asiwe mvulana wa kaz za ndan?
Nimekutumia PM
nimeiona, thanx.
Awe na nyonyo zilizosimama ? Au hata zilizombonji ?
Excuse sababu ya kuuliza hivyo, alishapita hapa tajiri mwenzio siku za nyuma akaweka sharti beki 3 amtakae mtindi uwe ume'stand !