Msaada pls wa Upatikanaji wa Kuku wazazi/Parents

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Jun 4, 2011
7,789
8,912
wanajanvi mimi niko Moshi na nina kaincubators kangu sasa nilitaka kuanza biashara ya kutotoresha vifaranga na kuwauzia wafugaji mtaani kwangu, sasa nashindwa kujua ni wapi nipate kuku parents wa kutaga mayai ya kuatamisha, nahitajio majogoo na majike.

Swali ni je nitapata Vifaranga Parents? au kuku parents ni lazima wawe wakubwa tu? na wanapatikana wapi? ila kama ningepata vifaranga ingekuwa bora zaidi
 
Nini kilikusukuma au kukushawishi hadi ukanunua incubator wakati hata hujui mayai ya kutotoresha utayapata wapi?
 
Kuku wazazi/ parent stock mara nyingi huwa wanatoka nje ya nchi na kwa wale walionao hapa Tz na wao wanaagiza ingekua vyema ukawaona wakakupa mwongozo wa namna ya kuwaagiza kutoka huko wanakoagiza, mfano kama uko moshi waweza fika kibo poultry waweza pata hayo maelekezo, au Kilacha njia ya kwenda holili....
 
Nini kilikusukuma au kukushawishi hadi ukanunua incubator wakati hata hujui mayai ya kutotoresha utayapata wapi?
Kutotolesha anaweza kutumia hata mayai ya kienyeji au ya Malawi. Nilivyomuelewa anataka mayai yenye kiini ambayo anaweza kutotolesha na kupata vifaranga wa mayai (layers) au/ na wa nyama (broilers). Anayejua amwage details tutafaidika wengi.
 
Mkuu mimi mwenyewe nilikuwa na watafuta hawa Parents, Ila kwa maelezo ya watu ni kwamba zinatoka Nje ya Nchi, South Africa, Ujerumani, Uhoranzi, Uturuki na kwingineko, na Sijajua kwa nini Serikali hairuhusu Mayai kuingizwa, ni Mpaka Vifaranga,

Kuhusu Kampuni za Tanzania Kama Interchick, Kibo, Tanzania Poltry Farm na zinginezo wanao ila hawauzi na hakuna kampuni iliyo tiyali kuuza Parents kwa sababu watakosa soko la Vifaranga wao,

Ila nilijaribu kufutailia Kenya Kuna Kampuni Moja ambayo ni agent wa Kampuni kubwa ya Kuku kutoka Ujerumani wao wanazalisha Parents wa Mayai na Nyama na ndo sehemu pekee East Africa unaweza pata Vifaranga Parents, so najaribu kuwasiliana nao kuhusu mauzo yao yako vipi

Mkuu ukipata details tujuze
 
Mkuu nina concern kama yako; vipi ulifanikiwa kupata chochote huu ya hili? Plse!!
 
Back
Top Bottom