Msaada pls:jinsi ya kutumia ZIP application

mojoki

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
1,314
290
ndugu wakuu wa kambi viongozi wa msafara...kama nilivyoandika hapo juu...application hii ya ZIP MANAGER nimekua nayo karibia katika kila simu (smart phone) ninayonunua tatizo nashindwa kujua ni ya kazi gan labda...nIkiifungua ndan nakuta vitu kama
activenotes
attachements etc etc nikibonyeza option nakutana na vitu kama open,new archieve (kwanza archieve maana yake nini) yaan inanivuruga kwa kwel msaada ndugu wadau tafadhali,simu nimeinunua ghali bana i wanna know it inn and out
 
Archive wanamaanisha Zip file.

Zip ni njia moja ya ku compress (kuzigandamiza ili kupunguza matumizi ya nafasi) files, pia inatumika kugawanya file kwenye vipande vidogo zaidi so file ya 1Gb unaweza kuigawa into 10 ~100Mb files.

Pia unaweza kuitumia kufungasha mafaili mengi kwenye file moja e.g badala ya kuatach mafaili 200 kwenye email unaweza ukayazip yakawa faili moja kisha ukaatach hilo, atakayepokea atatakiwa kuanzip akisha download.

So hiyo Zip Manager inatumika kutengeneza zip files (Zipping) na kuzifungua zip files (Unzipping).
 
umemaliza kazi kwake.
 
yeah thanks very much bro...ubongo wangu umepanuka kama uwanja wa taifa big up sana and thx alot MR
 
Back
Top Bottom