Msaada pliiiz!!! Wapi naweza kupata milk separator machine kwa tanzania

KASRI

Member
May 2, 2009
93
22
wandugu,
Kwa anayeweza nielekeza naomba kufahamu wapi wanaziuza hizi machine.
Natanguliza shukurani
 
nakumbuka baba yangu alinunuaga TFA miaka hiyo ya zamani sijui kama bado zipo.

TFA ni Tanganyika Farmers Association, jaribu kuwatafuta uulizie
 
Back
Top Bottom