Msaada wa tatizo la allerg

Baba Rayhaan

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
616
419
Nina tatizo la allergy kwa sababu nikipata vumbi tu napata mafua, pua zinawasha na macho pia, nikitumia dawa yoyote yenye priton naumia sana kifuani upande wa kushoto pamoja na mkono wa kushoto, nipo kwenye dozi ya hypertension natumia losartan H, nini yaweza kuwa shida? Maana sasa nashindwa kukontro allergy kwa sababu hiyo 😔.

Naombeni msaada
 
Nina tatizo la allergy kwa sababu nikipata vumbi tu napata mafua, pua zinawasha na macho pia, nikitumia dawa yoyote yenye priton naumia sana kifuani upande wa kushoto pamoja na mkono wa kushoto, nipo kwenye dozi ya hypertension natumia losartan H, nini yaweza kuwa shida? Maana sasa nashindwa kukontro allergy kwa sababu hiyo 😔. Naombeni msaada
Tumia dawa za kiarabu/kihindi... (mbadala)
 
Usipende kutumia neno kujaribu' kwenye tiba
Kakuelekeza sahihi
Mm nasema ongeza na mlonge
Mdalasini
Na tangawizi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kataa hiyo roho ya maradhi makubwa kama hayo anza kumwomba Mungu kuvunja nguvu za huo ugonja kisha jitibu

Sent using Jamii Forums mobile app

Nashukuru sana, katika maisha ya binadamu, miongoni mwa vitu vinavyokuja "uninvited" ni maradhi, Nashukuru sana kwa ushauri wako nitaufanyia kazi.
 
Nina tatizo la allergy kwa sababu nikipata vumbi tu napata mafua, pua zinawasha na macho pia, nikitumia dawa yoyote yenye priton naumia sana kifuani upande wa kushoto pamoja na mkono wa kushoto, nipo kwenye dozi ya hypertension natumia losartan H, nini yaweza kuwa shida? Maana sasa nashindwa kukontro allergy kwa sababu hiyo .

Naombeni msaada

Kama ukifata ushauri wote uliopewa na ikishindikana nitafute
You’re too young to start hypertension dosage
 
  • Thanks
Reactions: cmp
Back
Top Bottom