Illuminata Rodgers
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,845
- 2,020
Hellow jf,mtu wa kuchat nae pm akanifariji please maana nna stress hadi nahisi kuumwa yan hapa moyo unenda kasi hadi nahisi kama unataka kuchomoka hata usingiz sina kweli ukubwa dawa god help me