Msaada please wataalam wa simu; naweza kupata mkanda mwingine?

msuya4real

Member
Oct 14, 2016
76
27
Simu yangu aina ya Lenovo X2Pt5 imekatika mkanda wa unaohusika na kuongeza sauti, kupunguza, kuwasha na kuzima,

Je naweza kupata mkanda huo au ndo basi tena ktk simu hiyo maana nimehangaika bila mafanikio.
 
Simu yangu aina ya Lenovo X2Pt5 imekatika mkanda wa Unaohusika na Kuongeza sauti, Kuounguza, Kuwasha na Kuzima, Je naweza pata mkanda Huo au ndo basi tena Ktk Simu hiyo Maana nimehangaika bila mafanikio
Kwani umekatika vibaya sana? Wawza ungwa huo huo mradi njia ziwepo
 
Simu yangu Aina ya Lenovo X2Pt5 imekatika mkanda unaohusika na Kuongeza Sauti, Kupunguza na pia Kuwasha na kuzma, Naomba Wataalamu wa Vifaa vya Simu Wanielekeze mahali ambapo naweza pata Mkanda huo, Nimehangaika kwa kweli bila mafanikio namba yangu ni 0674119763 Mafundi Simu Please msaada wenu hapa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom