msuya4real
Member
- Oct 14, 2016
- 76
- 27
Naomba mwnye ufumbuzi na hili tatzo anisaidie Simu yangu Inapoteza network yenyewe tu, Unashangaa mnara Wa network uko full Baada ya Muda unaporomoka na kupoteza network kabisa kisha inarudi, Naomba mwenye kujua hili tatzo anisaidie mawazo au nimpate Fundi gani wa kunirekebishia hili tatzo