Godlisten Masawe
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 738
- 283
Wana Tech habari zenu;
nina samsung galaxy sIII nimesahau sreen lock na email (gmail), ila imeniletea option inasema
"If you forget your Google sign-in details, you can enter your backup PIN to unlock"
hizo back up PIN sina kwasababu hii simu niliinunua mkononi kwa mtu na huyo mtu siwezi onana naye yeye anaishi Nairobi mimi naishi arusha.
kama kuna njia yeyote naweza kuitumia naomba msaada wenu wana jamvi