Msaada please!! Photocopier canon jamaniii

g4cool

JF-Expert Member
Oct 18, 2012
424
198
Natafuta copier canon IR 3170CI na wino wake, kama unafahamu duka linalouza please nisaidie
 
Masumin printways au zamzam, haya maduka yapo mnazi mmoja police post upande wa pili wa barabara kuna nbc bank, shuka na hiyo road then ulizia hayo maduka yapo usawa wa barabara kulia kwako
 
nimeziona juzi canon shop pale hydery plaza,,,ukiingia tu ground floor unapaona...ziko aina lukuki
 
Masumin na hapo Hydery Plaza wanauza ghali sana , Nenda pale Veta Chang'ombe opposite
kuna duka linauza hizo copier machine na ni imara mimi nilinunua hapo na mashine ina miiaka miwili sasa na haijasumbua
 
unaweza kunisaidia namba zao za cm duda? kwa sasa nko Morogoro
 
Masumin na hapo Hydery Plaza wanauza ghali sana , Nenda pale Veta Chang'ombe opposite
kuna duka linauza hizo copier machine na ni imara mimi nilinunua hapo na mashine ina miiaka miwili sasa na haijasumbua

unasema sofia house pale ground floor....mitumba ile tena bei ni kubwa(hujui historia ya ubovu)....masumin,zamzam,haidary plaza unapata brand new
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom