Natania JF-Expert Member Dec 25, 2012 262 217 Feb 18, 2021 #1 Salamu kwenu! Hivi code inayotumika kuingia kwenye account ya equity bank kutumia simu ni ipi? Msaada tafadhali.
Salamu kwenu! Hivi code inayotumika kuingia kwenye account ya equity bank kutumia simu ni ipi? Msaada tafadhali.
Natania JF-Expert Member Dec 25, 2012 262 217 Feb 18, 2021 Thread starter #2 Sina application ya equity, bali naulizia code ninayoweza kuitumia kuingia kwenye account yangu ya equity hata kwa simu isiyo smart.
Sina application ya equity, bali naulizia code ninayoweza kuitumia kuingia kwenye account yangu ya equity hata kwa simu isiyo smart.
Natania JF-Expert Member Dec 25, 2012 262 217 Feb 18, 2021 Thread starter #5 Mukuu123 said: *150*07# Click to expand... Ubarikiwe sana!!
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Apr 13, 2017 44,492 188,636 Feb 18, 2021 #6 Shukrani Kwa Kushukuru! Natania said: Ubarikiwe sana!! Click to expand...
Natania JF-Expert Member Dec 25, 2012 262 217 Feb 18, 2021 Thread starter #7 Planett said: uko serious kweli au U Natania Click to expand... Mkuu hili si jukwaa la wanaotania!
Planett JF-Expert Member Mar 20, 2014 10,413 15,916 Feb 18, 2021 #8 Natania said: Mkuu hili si jukwaa la wanaotania! Click to expand... basi badili ID ndio uje na ili ombi lako maana ID yako tuu inatania...
Natania said: Mkuu hili si jukwaa la wanaotania! Click to expand... basi badili ID ndio uje na ili ombi lako maana ID yako tuu inatania...