Msaada please! Natafuta code ya equity mobile banking

Natania

JF-Expert Member
Dec 25, 2012
262
217
Salamu kwenu!

Hivi code inayotumika kuingia kwenye account ya equity bank kutumia simu ni ipi?

Msaada tafadhali.
 
Sina application ya equity, bali naulizia code ninayoweza kuitumia kuingia kwenye account yangu ya equity hata kwa simu isiyo smart.
 
Back
Top Bottom