Msaada please kuhusu ujumbe huu instagram, "We Detected An Unusual Login Attempt"

Rebeca 83

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
14,840
31,583
Nimefungiwa kutumia Instagram,nahisi mtu amenihack

kila nikiingiza log in details zangu,inaniambia hivi "We Detected An Unusual Login Attempt"

maprofile yote mawili

nifanyaje wakuu?

thanks
 
This was not me
This was me

Hakuna hizo option chini ya hayo maandishi unayosema?
 
This was not me
This was me

Hakuna hizo option chini ya hayo maandishi unayosema?

mkuu Daby kuna option ya kusend code kwenye email,kila niki click hio code haitumwi kwenye email wala simu
 
hahahahahahha mkuu nipo kule kuchungulia ma ex wangu na watu wengine,nitakupaje sasa uanze udukuzi hahahaha
Nia yangu nikukusaidia tu mkuu na sio vinginevyo,

Nikama Doctor wakiume anapo achiwa mgonjwa mwanamke amhudumie au doctor mwanamke anapo mhudumia mgonjwa mwanaume, pale ni kazi tu na maadili ya kazi tu hakuna kigine,

Hivyo mimi sitafanya jambo lingine zaidi baada yakukusaidia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom