MSAADA: Pikipiki aina ya fekon, gsm, na san moto

mailimoja77

Member
May 18, 2016
20
8
Habari zenu ndugu!
Naombeni Msaada wa kujuzwa ipi ni pikipiki nzuri kati ya FEKON, GSM na SAN MOTO.
 
Gsm napenda kikanyamio cha gia haki chafui viatu kuliko fekoni ina haribu kabisa kiatu hiyo nyingine sijaendesha
 
yan umeona uje na vitu vya ajabu wakati kuna mali nzuri kwanzia muonekano mngurumo wa injini ubora na nguvu .....

kuna yamaha ybr 125
honda ace 125

hutojutia ela yako
 
Hizo alizo taja mwenzio bei yake ni milioni mbili kushuka chini wakati hizo ulizo mtajia amejitahidi saana anapata injini tuu.
halafu kakuuliza habari za gsm na fekoni na hiyo ningine majibu ya yamaha yametoka wapi?
 
Habari zenu ndugu!
Naombeni Msaada wa kujuzwa ipi ni pikipiki nzuri kati ya FEKON, GSM na SAN MOTO.
Kila pkpk ina mazingira yake taja location yako ila san moto iwe milima tambalale ipo tuu inahimir na fekon sana tambalale utaipenda gsm ipo vzur tambalale miliman hakuna kitu na kuchoka inachoka mnooo ko urudishiaj wake wa kurepair vit huwa inasumbua
 
Kachukue mnyama sanlg iko vzr yangu toka 2010 mpk leo bado mpya na iwe mjini au vijini milima yote inapuq kuna milima zaidi ya hii ya usambara lakini chombo inapaa tu.
 
Back
Top Bottom