Msaada: Picha imegeuka juu chini kwenye PC

Ngushi

JF-Expert Member
Jul 8, 2016
9,066
18,348
Habari wanajamvi
Niliacha laptop yangu nyumbani sasa mtoto amechezea sasa screen imegeuka chini juu! yaani inavyodisplay picha zake zote ndio iko hivyo.Namimi bado sio mzoefu sana
Ata sielewi amebonyeza wapi!
Naombeni msaada wenu,kwani kuna kazi inabidi nimalizie niitume
Ahsante
@ChiefMkwawa
 
Unatumia Operating System gani?
 
Karibu tena. Ila uwe unaweka password kujikinga na errors zingine kubwa kama ku-coruptisha windows au kudelete files muhimu. Si unajua kizazi chetu cha kiswahili hiki.
nimekoma kuiacha hivi hivi mkuu! pamoja sana
 
Back
Top Bottom