Msaada Phantom 6 +

Mrimi

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
1,691
633
Waungwana simu yangu sasa ni kama miezi miwili network ipo down sehemu ambazo simu zingine zinasoma fresh.

Nimeanza kuona shida tangu nilipofanya system update..kwa sasa ninatumia HiOS v2.2.0

Can somebody please out there help?
 
Yes sir, irudishe kwakuwa Una waranty
 
modem hizo, sidhani kama tecno wanaprovide mode. separate, au kuna site unaweza zidownload, ungeweza flash separate.

au fuata ushauri wa mdau hapo juu, irudishe tecno.
 
Waungwana simu yangu sasa ni kama miezi miwili network ipo down sehemu ambazo simu zingine zinasoma fresh.

Nimeanza kuona shida tangu nilipofanya system update..kwa sasa ninatumia HiOS v2.2.0

Can somebody please out there help?
Tecno ndo walivyo, ukifanya updates lazma kuwe na kasoro hawako makini, wana forum yao Tecno spot unaweza kuwachek humo wakakupa muongozo zaidi ya hapa, au tafuta stock rom ya mwanzo uiflash itakuwa fresh
 
Back
Top Bottom