Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,373
- 54,754
Rungu pia siyo haba, ina marashi ya kipekee.
BeiKama ni mwanamke nakushauri Dolice&Gabbana blue intense .Kama mwanaume basi Blue de Chanel.
Bei....Mzee chukua blue for men. Nzuri unaweza ombea hata mkopo benki harufu yake.
Hahaha mkuu m nimetaja nnayomiliki coz nikinunua nakaa hata mwaka na sijanunua na mshahara wa kawaida tu angalia unapojiweza hahaha,m mwenyewe nikimkuta mtu anatumia creed ya laki7 huko namshangaa hahahah lakin inanipa munkari wa kutafuta ili na mm sku nikijiweza ninunue teh,before 30 inabd hata vtu vya kawaida umiliki kwanzaBro kua siriaz azeee kwa mwezi nalipwa laki 3 tu
Dar Alshabaab.Me wa kiume ndg.
Tafuta jamaa yako akutumieje kwa sisi wa huku up country tunaipata wapi?
Ok.cna jamaa drs!
Nenda maduka ya Waarabungoja niingie mtaani kwetu nione kama nitaipata, ahsante kwa ushirikiano wako mkuru!
Duh.. nilikuwa sijui.Kwa kiasi flan vitu vya waarabu huwa vinashabihiana na majini, ntajitahd lkn!
Jamani kuna mkaka niliwahi kusafiri nae mwanza 2 bukoba alikuwa ananukia ki ukweli nilidata ....natamani nimuulize jina la pafyum aliyotumia nashidwa! Natamani nimuombe no nashidwa......kama yuko humu namtafuta