MSAADA: PERFUME YENYE MARASHI MAZURI

Bulaya001

Bulaya001

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2018
Messages
3,933
Points
2,000
Bulaya001

Bulaya001

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2018
3,933 2,000
wana JF, kuna ile unakutana na mtu yaaan kwa jinsi anavyonukia tu unaanza kuwazia akilini "kama huyu si mtumishi wa bank basi atakuwa plan international ama kwenye wizara flan ivi serikalini" ila baada ya udadisi wa karibu unakuja kugundua kumbe ni mtu wa kawaida tu,

Naitaji kufahamu aina ya perfume murua ambayo nikiitumia itanifanya kuwa mkaka mtanashati ninaye nukia vizuri(itapendeza kama ukisema na bei yake).
 
masara

masara

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2016
Messages
1,633
Points
2,000
masara

masara

JF-Expert Member
Joined Jul 20, 2016
1,633 2,000
Jamani kuna mkaka niliwahi kusafiri nae mwanza 2 bukoba alikuwa ananukia ki ukweli nilidata ....natamani nimuulize jina la pafyum aliyotumia nashidwa! Natamani nimuombe no nashidwa......kama yuko humu namtafuta
Kumbe perfumu inaogoza point ya kurahisha maogezi?
 
Bulaya001

Bulaya001

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2018
Messages
3,933
Points
2,000
Bulaya001

Bulaya001

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2018
3,933 2,000
Jamani kuna mkaka niliwahi kusafiri nae mwanza 2 bukoba alikuwa ananukia ki ukweli nilidata ....natamani nimuulize jina la pafyum aliyotumia nashidwa! Natamani nimuombe no nashidwa......kama yuko humu namtafuta
Aiseee, kumbe ingetokea akatia neno alikuwa keshakubaliwa moja kwa moja?
 
F

frank gallagher

Member
Joined
Jan 12, 2019
Messages
60
Points
125
F

frank gallagher

Member
Joined Jan 12, 2019
60 125
Tafuta sauvage dior sema bei inachangamka.mi natumia La Nuit De L'Homme Yves Saint Laurent

Kwa sasa ni nzuri sna na compliments utapata nyingi sema bongo ni lak2.7 ila kama mtu anasafiri toka south afrika bei nzuri kwenye 1.9 hiv maana nliichukua kwa hela ya wasouth
 

Forum statistics

Threads 1,306,417
Members 502,110
Posts 31,579,705
Top