Msaada PC yangu inapata moto sana na baadhi ya batani hazifanyi kazi

Blank page

JF-Expert Member
May 28, 2015
4,656
2,997
habari...wakuu?
nina...private..computer..yangu..hapa..toshiba,old..model..naona..imeanza..kusumbua
ina..shida,ya...kuapata...moto..sana..pia,kuna..baadhi..ya..buttons..kwa,..keyboard..zimejam,hazifanyi..kazi..kabisa.naomba..kufahamu..tatizo..ni..nini...na..nasolve...vp?
tafadhali,msaada..wa..haraka,naitegemea..sana..katika,kazi..zangu..hii..computer.
thanks,kwa..mtakaonisaidia,kutatua,tatizo...naiamini,sana..JF.
 
Kwanza kabisa usiwe unatumia laptop yako umeweka kitandan maana lazima itachemka..kuhusu button kujam inaweza kua mkanda umelegea au keyboard imechoka
 
Kwanza kabisa usiwe unatumia laptop yako umeweka kitandan maana lazima itachemka..kuhusu button kujam inaweza kua mkanda umelegea au keyboard imechoka
doh..so..inakuwa,nibadilishe..keyboard,ama..nijaribu..kuicheki..tuu?
 
Hizo dot dot nalo nadhani ni tatizo moja wapo la laptop yako mkuu.
 
Hizo dot dot nalo nadhani ni tatizo moja wapo la laptop yako mkuu.
ndiyo,mkuu..naandika..hivi..kwasababu...moja..ya..button..yani..hii..ya..kuacha..space,imejam..pia,haifanyi..kazi.
 
ndiyo,mkuu..naandika..hivi..kwasababu...moja..ya..button..yani..hii..ya..kuacha..space,imejam..pia,haifanyi..kazi.
Mkuu hapo keyboard nenda kanunue mpya tu,na ishu ya fan ifungue pc then safisha fan.
 
Na mimi msaada: Nina "external" ambayo nikiichomeka kwenye computer haifunguki ila kuna message inakuja kuwa niiformat kwanza. Na ina documents ambazo sipo tayari kuzipoteza. Please mwenye ujuzi wa kunisaidia kutoa docs zangu kabla ya kuformat?....Kwa sasa nipo Ngarenaro
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom