Nashukuru mkuu ni power ndo haiwaki kabla ya kuichaji ilikuwa fresh tu na window haikuwa na shidaMkuu mm n mtumiaji wa PC tu Sina uelewa Sana sema ujafafanua je kabla ya kuchaj ulipiga window je haiwak kiaje Yan hai restart windows au power haiwak kabisa Kama power haiwak kabisa Inawezekana ilipiga short AC au kuna kitu kimeungua peleka kwa technician wa PC wako mjin weng tu inaonekana tatizo lako n hardware Si software
Ulijaribu kutoa betri na kuplug adaptor moja kwa moja ? Toa betri na upress power button kwa sekunde kadhaa kama 30 hivi kudrain out power fully then plug adaptor peke ake washa uone. Jiridhishe kwanza kama kuna power issue ndo uende kwa techniciansNashukuru mkuu ni power ndo haiwaki kabla ya kuichaji ilikuwa fresh tu na window haikuwa na shida
Au kama anaweza kuifikia ilipo C-Mos battery aitoe halafu ashotishe termina ya pisituve na negative ili kuflash out remaining tokensUlijaribu kutoa betri na kuplug adaptor moja kwa moja ? Toa betri na upress power button kwa sekunde kadhaa kama 30 hivi kudrain out power fully then plug adaptor peke ake washa uone. Jiridhishe kwanza kama kuna power issue ndo uende kwa technicians
Yaah sure mkuuAu kama anaweza kuifikia ilipo C-Mos battery aitoe halafu ashotishe termina ya pisituve na negative ili kuflash out remaining tokens