Msaada: PC (laptop) yangu screen yake imebadili rangi kuwa pink

luangalila

JF-Expert Member
Jan 12, 2014
6,325
6,868
Habarini za Usiku wadau wa Tech

Leo nimekumbana na hii scenario nawasha Pc yangunlkn muonekano wa screen sio ule wa kawaida, ina ka rangi kama ya pink flan iv sometime ina ambatana na kama mistari iv ..ningeomba watalaam mnisaidie ku share tip juu ya hili tatizo Je ni kioo kina shida au ndio kompyuta kushnei habari yake ...

IMG_20210930_201757_115.jpg
 
Kama ni desktop waya wa vga una shida au haujachomekwa vema

kama ni laptop itakuwa mkanda wa kioo una shida au kioo chenyewe,,, au pia mara chache chache sana graphics card
 
Kama alivyosema mdau possibility kubwa ni connection kwenda kwenye kioo, kunakuwa na rangi tatu (rgb) nyekundu, kijani na blue, ukiona hio pink (magenta) ujue kijani haifanyi kazi, blue na nyekundu zikikutana huleta hio rangi.

What-Two-Colors-Make-Yellow.png


Sometime kuichezea settings za graphics pia inaweza sababisha hilo tatizo, kwenye desktop right click kisha chagua setting za graphics, zirudishe kuwa default.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom