Msaada PC inachanika

fdizzle

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
1,891
2,367
Wakuu naombeni ushauri nifanye nini kuzuia ili tatizo la PC kuchanika kwani kadri muda unavyoenda ndivyo inavyozidi kuchanika
Nashindwa kupeleka kwa hawa mafundi wetu Wa kibongo nahofia kuongeza tatizo lingine zaidi
IMG_20191009_232047.jpeg
 
Imetumika sana hio cheki buttons mpaka zimeacha alama ya kidole
 
Wakuu naombeni ushauri nifanye nini kuzuia ili tatizo la PC kuchanika kwani kadri muda unavyoenda ndivyo inavyozidi kuchanika
Nashindwa kupeleka kwa hawa mafundi wetu Wa kibongo nahofia kuongeza tatizo lingine zaidi
View attachment 1228018
Hujaidondosha ama kulock hizo hinges za kukunja na kukunjua kioo Cha laptop?

Hizo hinges zikijikunjia kwa juu halafu zikakataa kukunjuka zinakuwa muda wote zinapush Hilo plastic la juu hivyo kusababisha laptop ifumuke ama plastic ivunjike.

nSMmDqyXwNaRRJk-800x450-noPad.jpg
 
Solution sio kubadili case hapo unatakiwa kuipeleka wakachomelee izo bawaba za kukunja na kufungua pc
 
Wakuu naombeni ushauri nifanye nini kuzuia ili tatizo la PC kuchanika kwani kadri muda unavyoenda ndivyo inavyozidi kuchanika
Nashindwa kupeleka kwa hawa mafundi wetu Wa kibongo nahofia kuongeza tatizo lingine zaidi
View attachment 1228018
Inawezekana Bawaba (hinge) zimekatika kwa ndani au zimestuck sababu ya kutu.
Solution ni kuchomelea kwa gas sehemu iliyokatika na kuzilegeza Bawaba zifunge na kufungua kilaini then kama Case halizifungi vizuri tumia Chicago screws kitu kitarudi fresh.
Mimi nimefix sana PC za hivyo ila kama ujui peleka tu kwa fundi anayejua atakufanyia poa.
 
Hujaidondosha ama kulock hizo hinges za kukunja na kukunjua kioo Cha laptop?

Hizo hinges zikijikunjia kwa juu halafu zikakataa kukunjuka zinakuwa muda wote zinapush Hilo plastic la juu hivyo kusababisha laptop ifumuke ama plastic ivunjike.

nSMmDqyXwNaRRJk-800x450-noPad.jpg

Mleta mada pelekea kwa fungi...

Cc: mahondaw
 
Sijadondoshs mkuu
Nimepeleka kwa fundi anasema atabadili case
Hujaidondosha ama kulock hizo hinges za kukunja na kukunjua kioo Cha laptop?

Hizo hinges zikijikunjia kwa juu halafu zikakataa kukunjuka zinakuwa muda wote zinapush Hilo plastic la juu hivyo kusababisha laptop ifumuke ama plastic ivunjike.

nSMmDqyXwNaRRJk-800x450-noPad.jpg
 
Kalianza kidogo Sana nakuja kushtukia ishakuwa kubwa hivyo
 
Inawezekana Bawaba (hinge) zimekatika kwa ndani au zimestuck sababu ya kutu.
Solution ni kuchomelea kwa gas sehemu iliyokatika na kuzilegeza Bawaba zifunge na kufungua kilaini then kama Case halizifungi vizuri tumia Chicago screws kitu kitarudi fresh.
Mimi nimefix sana PC za hivyo ila kama ujui peleka tu kwa fundi anayejua atakufanyia poa.
Mkuu unaweza ukawa unamfahamu fundi anayeweza fix hili tatizo kwa hapa dar, maana mim pia PC yangu inatatizo hilo,
nilipeleka machinga complex nikakutana na kanjanja mmoja, akapakapaka lubricant tu, akabana na gundi baada ya siku tatu tatizo likarudi palepale
 
Mzee hiyo ni PC au toi, muulizage brands nzuri za PC kabla hamjapoteza your hard earned money
 
Back
Top Bottom