Msaada: Pc imegoma kuwaka baada ya kuactivate window!!!

tindikalikali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,855
1,117
Wadau PC yangu ni Samsung, na hivi majuzi ikaanza kuniambia "copy of window is not Gebuine", sasa leo nilikuwa naactivate na setup inaitwa "Window 7 loader"...

Kilichotokea baada ya kuinstall, PC imeshindwa kurestart...kila yanapoanza maandishi ya Samsung inazima...yan inakuwa kama inamulika hivi!!!

Wadau naomba msaada wenu, nifanyeje maana ni karibu 2hrs now inafanya the same thing!!!
 
Force shutdown and try again to switch on and if it fails again no way out ingza window mupya.
 
hiyi loader ndo imeleta shida, jaribu kuboot kwenye safe mode, hit f8 repeatedly ikianza kuwaka, ikikubali ujaribu kuirestore.
 
fake windows loader with trojans....
reinstall windoze reactivate with new loader or kms
 
ingiza CD ya windows genuine halafu restart na ikiwa inawaka bonyeza F12..ikakupa option ya kuboot kutoka kwenye CD..u-reinstall windows upya...
Tatizo la kubaniana CD hili.,.CD moja ya windows watu wanataka kuazimana Dar nzima.
 
0653741463
Kama stil hujafanikiwa nipgie nkuelekeze cha kufanya

Jaman hyo n hatua ya mwisho kwa nn uformat? Bonyeza ctr +esc
Chagua option boot without loder.
Then itawaka kama mwanzo baada ya hapo load tena hyo loader itakupa option mbil chagua option ya pil.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom