kidi kudi
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 2,419
- 1,981
Wasaalam wanajukwaa hili.
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza,nimekuwa nikitumuia simu janja yangu ku-share internet na PC yangu kwa kutumia njia ya hotspot lakini cha kustaajabisha tangu jana nashangaa PC yangu hai-connect internet kama ilivyokuwa hapo awali. Tafaddhali mwenye kujua suluhisho la hili tatizo anisaidie itakuwa msaada mkubwa sana.
Natanguliza shukrani.