Msaada pale UDOM

shamp

shamp

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2017
Messages
502
Points
250
shamp

shamp

JF-Expert Member
Joined Jan 22, 2017
502 250
Jaman ivi tatzo nini mana nafanya application UDOM lakin hawaniletei programs wala control number je nifanyaje

Inaonesha hivi
2160261_Screenshot_20190911-142956.jpeg
 
vinny cente

vinny cente

Member
Joined
Sep 22, 2018
Messages
30
Points
125
vinny cente

vinny cente

Member
Joined Sep 22, 2018
30 125
wanakuga wazinguajii udom saana system zao zinakuga ivoo kilaa mwaka jaribu kuwasiliana nao kwenye simu wanaweza kukusaidia lakini pia ujaribu kubadirishaa kifaa kama unatumia simu jaribu ata pc mkuu
 
Elkana92

Elkana92

Member
Joined
Feb 18, 2018
Messages
5
Points
45
Elkana92

Elkana92

Member
Joined Feb 18, 2018
5 45
Jaman ivi tatzo nini mana nafanya application UDOM lakin hawaniletei programs wala control number je nifanyaje

Inaonesha hiviView attachment 1204483
Inaonekana wewe uliapply udom mwaka jana ukakosa hivyo umejichanganya ukafungua account ya mwaka jana ..hilo tatizo lako nami lilinipata..cha msingi Achana hiyo account fungua uliyoisajili mwaka huu. .

Note:wakati mwingine huwa mnakilaumu chuo cha udom wakati matatizo ni yen binafsi
 
shamp

shamp

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2017
Messages
502
Points
250
shamp

shamp

JF-Expert Member
Joined Jan 22, 2017
502 250
Amna mkuu wengne niliwafanyia first round vzur tu nashangaa saiz inakua ivo
Mda mwengne mnasingizia site ya chuo kumbe ni mhusika ana matatizo yake binafsi kuhus application yenyewr
 
shamp

shamp

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2017
Messages
502
Points
250
shamp

shamp

JF-Expert Member
Joined Jan 22, 2017
502 250
Inaonekana wewe uliapply udom mwaka jana ukakosa hivyo umejichanganya ukafungua account ya mwaka jana ..hilo tatizo lako nami lilinipata..cha msingi Achana hiyo account fungua uliyoisajili mwaka huu. .

Note:wakati mwingine huwa mnakilaumu chuo cha udom wakati matatizo ni yen binafsi
Amna mkuu hiyo account nimejisajil leo leo na sio kwamba mwaka jana nimeomba nilikua bado
 
mjumbe wa bwana

mjumbe wa bwana

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2016
Messages
3,665
Points
2,000
mjumbe wa bwana

mjumbe wa bwana

JF-Expert Member
Joined Sep 19, 2016
3,665 2,000
Mkuu kumbe na ww yanekukumba kama yangu mpk nimeamua zangu tu kubali hm kwa mwaka huu maana kila nikiwapigia wananipa maasa yakusubiria ila wap hakuna kitu
Amna mkuu hiyo account nimejisajil leo leo na sio kwamba mwaka jana nimeomba nilikua bado
 
Forum statistics

Threads 1,342,748
Members 514,784
Posts 32,762,727
Top