Msaada on nimesahau password ya Ku log in kwenye desktop yangu ni window 10, account nimeset kama admin.

kindboy

Senior Member
Dec 11, 2010
142
28
Naomba msaada plse niliset kwa kutmia control panel , kama admin, sasa nimesahau password , plse assist , nimejalibu nimeshindwa .
 
Naomba msaada plse niliset kwa kutmia control panel , kama admin, sasa nimesahau password , plse assist , nimejalibu nimeshindwa .

Duh unasahau password? inaelekea unaishi kwa mashaka sana na kutokuaminiana, hata hivyo kila la Heri siwezi kukusadia!
 
Duh unasahau password? inaelekea unaishi kwa mashaka sana na kutokuaminiana, hata hivyo kila la Heri siwezi kukusadia!
Sema haujui. Siasa na teknlojia ni km mafuta na maji.
Kampeni ya uzalendo iliishia wapi?
 
mbona easy to mkuu ingia google andika tatizo lako ukianza then: utapata feedbak tatizo litakwisha
 
S
Fungua case ya hiyo computer iwe laptop au desktop nenda kwenye mother board chomoa thermal battery (inakuwa kama battery y saa ila lenywewe kubwa) kwa mda wa kama dk kumi then lirudishe betri computer itasahau password zote utakuta mafile uliyowekea password yako free
Sio kweli, hiyo ni kwa ajili ya bios password tu na hata BIOS ni baadhi ya machine.
 
Umejaribu ikashindikana?
Najua biis nna windows zinavyofanya kazi, sina haja ya kujaribu.
Windows password haihusiki kabisa na bios ndo maana hiyo harddrive yenye windows hata ukiihamishia PC nyingine ambayo ina bios tofauti ukaboot bado windows itakuwa na password ile ile.
 
Sawa mkuu ahsante
 
Naomba msaada plse niliset kwa kutmia control panel , kama admin, sasa nimesahau password , plse assist , nimejalibu nimeshindwa .
Fungua hiyo CPU/ machine toa Thermos battery iache kama dk tano alafu rudisha funga kisha washa kawaida

Thermos battery inafanana kama battery ya saa ya mkononi ila yenyewe kubwa.. hii ndi inatumika kwa kuhold charge za ku-run wakati komputer imezima.. kwaiyo ikiiondoa komputer itasahau password
 
Back
Top Bottom