Hahaha kwahio unaingia chini ya bonet au sioWanajamvi naombeni kujuzwa oil filter ya gari tajwa hapo juu ipo sehemu gani make mda wa kufanya service na nataka nimalizane nalo hakuna cha fundi
Mkuu january bado ngumu
Ndo mara ya kwanza kufanyiwa service sema nimezoea kufanya utundu wa service mwenyewe lakini hii sioni ilipoKama hata hujui ilipo ina maana hujawahi kupeleka gari service hata mara 1?kama gari ndio service yake ya kwanza zile oile filter ndogo zinazokuja na gari kutoka japan ni bora uache afungue fundi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo mara ya kwanza kufanyiwa service sema nimezoea kufanya utundu wa service mwenyewe lakini hii sioni ilipo
Ha ha ha maisha tight. Ila ubahili huu unaenda kuharibu hiyo gariHahaha kwahio unaingia chini ya bonet au sio