WanaJF, napenda kujuzwa iwapo nyumba imeuzwa
1. Kama ikiuzwa bei kubwa kuliko kiwango cha mkopo, kile kiasi kilichoongezeka unapewa mwenyewe?
2.Iwapo itauzwa chini ya Kiwango cha mkopo je bado unatakiwa kumalizia kiasi kilichosalia?
mkuu hayo ndio majibu yake kabisa.... ikiuzwa zaid ya deni lako unaingiziwa kwenye akaunt zilizozidi