MSAADA: Nyumba yako inapouzwa kama dhamana ya mkopo wa Benki n.k

GAZETI

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
5,118
2,000
WanaJF, napenda kujuzwa iwapo nyumba imeuzwa

1. Kama ikiuzwa bei kubwa kuliko kiwango cha mkopo, kile kiasi kilichoongezeka unapewa mwenyewe?

2.Iwapo itauzwa chini ya Kiwango cha mkopo je bado unatakiwa kumalizia kiasi kilichosalia?
 

maroon7

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
8,922
2,000
mkuu hayo ndio majibu yake kabisa.... ikiuzwa zaid ya deni lako unaingiziwa kwenye akaunt zilizozidi
 

Mama Joe

JF-Expert Member
Mar 30, 2009
1,504
1,225
Issue ni kuwa mara nyingi zinauzwa kwa minada au brokers na hufanya ufisadi kuziuza kwa bei ndogo sana utaweza daiwa au usipate kitu. Kuna jirani yamemkuta ameweka pingamizi akitafuta namna arudishe hiyo au auze mwenyewe.
WanaJF, napenda kujuzwa iwapo nyumba imeuzwa

1. Kama ikiuzwa bei kubwa kuliko kiwango cha mkopo, kile kiasi kilichoongezeka unapewa mwenyewe?

2.Iwapo itauzwa chini ya Kiwango cha mkopo je bado unatakiwa kumalizia kiasi kilichosalia?
 

king kan

JF-Expert Member
May 6, 2011
1,504
2,000
Si rahisi nyumba kuuzwa chini ya mkopo unaodaiwa kwa kuwa inapofanyika Valuation ili nyumba iwe security, forced sale value ambayo ndio hasa security ya mkopo huwa ni ndogo kwa asilimia 30 ya thamani halisi ya soko ya nyumba yako. Inapotokea nyumba ikapigwa mnada na kuuzwa kwa bei ya juu zaidi ya thamani ya ule mkopo, unarudishiwa kiasi cha juu cha gharama zote za mkopo na dalali.
 

bluetooth

JF-Expert Member
Jan 12, 2011
4,284
2,000
mkuu hayo ndio majibu yake kabisa.... ikiuzwa zaid ya deni lako unaingiziwa kwenye akaunt zilizozidi

kawaida collateral (dhamana) hufanyiwa valuation na kupata idhini kutoka kwa chief valuer wa serikali kwamba market price ya hiyo property (nyumba na ardhi/kiwanja) ni kiasi fulani ... hivyo basi valuation report hujiwekea kiwango cha asilimia let say 80% ya market value ndiyo thamani ya collateral .... hivyo basi wakiamua kuuza chini ya thamani ya agreeable collateral value imekula kwao hutatakiwa kulipa tena
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom