Msaada: ntaonaje nafasi za kaizi kupitia daily newz online | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada: ntaonaje nafasi za kaizi kupitia daily newz online

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by pisces, Nov 27, 2011.

 1. pisces

  pisces JF-Expert Member

  #1
  Nov 27, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 225
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  daily newz hawatoi zile vacancy wanazotangaza kupitia gazeti lao online, labda ni site gani ambayo naweza ona kazi zitangazwazo kupitia daily newzz... kwa mfano kazi za the guardian nazipata kupitia zoom,na wanajitahidi kuupdate mara kwa mara... hii ni katika harakati za kuepukana na gharama za kununua magazeti daily... si unajua huu msimu wa tusio na ajira mifuko ni mikavu hadi aibu....
  nisaidieni katika hilo na ningependa kupata site ambayo inakua currrent mara kwa mara... shukran.
   
 2. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #2
  Nov 27, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 5,649
  Likes Received: 4,407
  Trophy Points: 280
  Soon tutakuletea kitu makini .
   
 3. SUPERUSER

  SUPERUSER JF-Expert Member

  #3
  Nov 27, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 959
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  jaribu hii apa Jobs
   
 4. pisces

  pisces JF-Expert Member

  #4
  Nov 28, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 225
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Thank you pal.... That one is useful....
   
 5. Mpangamji

  Mpangamji JF-Expert Member

  #5
  Nov 28, 2011
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 536
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
Loading...