Msaada: Nna wiki siipati tbc na sauti

mossad007

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
1,165
850
Ndugu zangu nnatumia king'amuz cha dstv nna wiki nzima channel 291 TBC1 haitoi sauti je hili tatizo ni kwangu tu na kwa mwenye clue yoyote juu ya hili tatizo!
 
Hata mimi nina tatizo hilo , naomba msaada pia anayejua namna ya kurekebisha
 
Hata mimi mkuu channel zote napata sauti ila TBC haina sauti siku nyingi sana, ni juzi tu siku ya mpira ndio nilipata sauti
 
Oooooo poleni sana jaribuni kuangalia waya za sauti kama vipi muweke mpya.

Hapana mshumaaa cz channel nyingne zote zinatoa sauti ni TBC tu labda ngoja nijaribu kuwasiliana nao Multichoice
 
Hope Tatizo ni TBC wenyewe kama wire haiwezi kuwa tatizo la kila mtu mie tatizo limeanza jana Sauti haitoki ila mie natumia ZUKU
 
Ndugu zangu nnatumia king'amuz cha dstv nna wiki nzima channel 291 TBC1 haitoi sauti je hili tatizo ni kwangu tu na kwa mwenye clue yoyote juu ya hili tatizo!

Mimi Nimeenda DSTV , wamenielekeza kitu cha kufanya chukua zile cable MBILI NYEKUNDU NA NYEUPE . PENYE NYEUPE WEKA NYEKUNDU NA ILE SEHEMU YA NYEKUNDU WEKA NYEUPE. SAUTI ITASIKIKA.
 
Mimi Nimeenda DSTV , wamenielekeza kitu cha kufanya chukua zile cable MBILI NYEKUNDU NA NYEUPE . PENYE NYEUPE WEKA NYEKUNDU NA ILE SEHEMU YA NYEKUNDU WEKA NYEUPE. SAUTI ITASIKIKA.

Thnx mkuu dah kweli bwana imefanya kaz.. shukran
 
Back
Top Bottom