Msaada Njia ya Kuondoa Acid Tumboni

Tangawizi ina accelerate vidonda vya tumbo
Naongea kitu ambacho nimekitumia.
Hata jana usiku kuna mtu kalalamika higo gesi nikampa kipande katafuna kalala kwa amani kabisa.

Nawewe nakushauri ikitokea umekosa chakula muda mrefu piga ginger tea or ginger juice kisha piga kazi kutwa nzima hakuna shida ya tumbo.
 
Baada ya kulalamika kwa muda mrefu kuhusu vidonda vya tumbo nilihamua kwenda hospital yenye vipimo vinavyoweza kuonyesha tumboni vidonda vya tumbo vimenihathiri kwa ukubwa gani
Mrejesho wadau
Nilifanikiwa kwenda hospital moja ipo Njombe Makete inaitwa ikonda,nikapima vipimo kama inavyoonekana kwenye atachment hapo chini,ila sasa baada ya kupimwa kile kipimo cha camera ya kuingizwa tumboni kikaonyesha kwenye utumbo hakuna vidonda wala michubuko,lakini nikamuhuliza doctor sasa mbona tumbo uwa linaniwaka moto sana mbaka nakosa raha akanijibu kwamba inaonekana mwili wangu unazalisha sana Acid ndo inafanya tumbo liwake moto,nikapewa mavidonge lakini nimeyatumia sijaona utofauti nimerudi kwenu kuomba ushauri nitumie njia ipi kuzuia mwili wangu usizalishe Acid kwa wingi??View attachment 1093132
Hiyo Typhoid uliitibu pia?
If yes, niambie ulitumia dawa gn
 
Dawa nzuri ni ile inayobadiri asidi kuwa alkaline.

Fanya hivi kila asubuhi kabla hujala chochote chukua bilauli kamulia limao moja kisha ongeza Maji kidogo kunywa.

Limao ikifika tumboni inabadiri asidi kuwa alkaline
 
Hiyo Typhoid uliitibu pia?
If yes, niambie ulitumia dawa gn
Aixe walinipa dawa nyingi ila za typhoid nilizozizoea zile za kama cipro zikuziona,nikifika nyumbani nitapiga picha ile kalatasi iliyoandikwa dawa natuma
 
Baada ya kulalamika kwa muda mrefu kuhusu vidonda vya tumbo nilihamua kwenda hospital yenye vipimo vinavyoweza kuonyesha tumboni vidonda vya tumbo vimenihathiri kwa ukubwa gani
Mrejesho wadau
Nilifanikiwa kwenda hospital moja ipo Njombe Makete inaitwa ikonda,nikapima vipimo kama inavyoonekana kwenye atachment hapo chini,ila sasa baada ya kupimwa kile kipimo cha camera ya kuingizwa tumboni kikaonyesha kwenye utumbo hakuna vidonda wala michubuko,lakini nikamuhuliza doctor sasa mbona tumbo uwa linaniwaka moto sana mbaka nakosa raha akanijibu kwamba inaonekana mwili wangu unazalisha sana Acid ndo inafanya tumbo liwake moto,nikapewa mavidonge lakini nimeyatumia sijaona utofauti nimerudi kwenu kuomba ushauri nitumie njia ipi kuzuia mwili wangu usizalishe Acid kwa wingi??View attachment 1093132
Mkuu hebu nunua Mucogel
 
Nina hili tatizo pia, vipi kiongozi ushapata suluhu?
 
Ila tango mi huwa linanisaidia sana.Pia mtindi pia japo wengine mtindi hauwakubali.Ila Mtindi ni bonge la tiba aisee
 
Dah! Huu uzi ulijibiwa kimasihara sana!!! Naimbeni msaada hapa. Kuna shida imetokea
 
Back
Top Bottom